Ktk maisha, Ni jambo nzuri sana kufahamu wakati. kwa maana wakati ni afya ni uzima ktk maisha yako,
Sasa leo tutakumbushana kwa habari ya matukio yanayoikumbu dunia Hivi karibuni.
Je una amini injili tuliokabiziwa kwa mkono wa kristo??
Kama ndio ungana nami pamoja na kama hapana nina kukaribisha kwa jina la yesu kristo katika makala hii ili tukue kiroho na tupate afya pamoja tuwe na tahadhali kwa maana tunaishi ktk dunia iliofikia ukingoni.
Matukio ya hivi karibuni ya kutisha yaliyo hikumba dunia:
1: Tetemeko la ardhi
2: Tabia ya inchi
3: upepo wa aina ya kimbuka na matufani
Haya ni bahazi ya matukio ya kutisha yaliohikumba dunia hivi karibuni.
Ni heri yange tokea mwaka tofauti tofauti bali yametokea ndani ya mwaka mmoja.
Tunajifunza nini ??
Tunajivunza kumtafuta mungu kwa maana kwa akili zetu hatuta wezaa kabisa.
Matukio haya yametokea kwenye mataifa makubwa kiuchumi nao wameshindwa kuyazibiti matatizo yote haya. Siwezi kusema mwisho wa dunia umefika kwa maana roho wa mungu ajanishuhudia jambo hilo, kwa hapo sipendi kuitwa muhongo.
Matukio yote haya mabadiliko ya inchi nk Ni wakati wa kutengeneza na Bwana, kwa maana wakati hupo, mrango wa reema uko wazi kwa kila mtu.
( yohana 17:3 ) inasema "na uzima wa milele ndio huu, wakujue wewe mungu wa pekee wa kweli na yesu kristo uliyemtuma"
Ndugu zangu kwa matukio haya wala tusiogope, tunapaswa kubadili tabia zetu na kumgeukia Bwana wetu naye ni yesu kristo ndio kimbilio letu.
Akili zetu zitashindwa, pesa zina ukomo wake.
Yesu ndiye njia, yeye ndiye huo ufufu na uzima, yeye ni njia ya kwenda mbinguni, hakuna njia nyingine wala jibu la maisha yetu kwa mwengine bali ni yesu kristo.
( matendo ya mitume 1: 6, 7 )
Mstali wa saba anasema " Akawaambia, si kazi yenu kujua nyakati wala majira, Baba aliyoyaweka ktk mamlaka yake mwenye "
Kama mungu ajakutuma kusema habari za siku za mwisho basi hujue sio kazi yako kusema.
Leo sija kuletea habari za siku za mwisho bali tunakumbushana kuwa hizi ni nyakati za kumgeukia yesu kristo
Fahamu kuwa wokovu ni leo, Tafuta kanisa la kiroho iliyo karibu yako ili ukue huki mfahamu mungu
Uchaguzi wako ndio makao yako ya milele.
Asante sana.
Maoni
Chapisha Maoni