Ni kawaida kutamani kuwa na usalama wa kifedha kwa kiasi fulani.
Lakini, ni kiwango kipi cha pesa kinachofaa? Mafanikio ni nini hasa?
Je, yanapimwa kwa kutegemea tu kipato au mali za mtu? Kwa upande mwingine, kuwa na muda mwingi wa mapumziko au burudani kunaweza kuongeza mkazo.
Tim, aliyenukuliwa awali anasema hivi:
" mimi na mke wangu tulichunguza upya maisha yetu na kuamua kutarahisisha.
Tulitengeneza chati iliyoonyesha hali yetu ya sasa na malengo yetu mapya. Tulizumgumza kuhusu matokeo ya maamuzi tuliyofanya zamani na kile tunachohitaji kufanya ili kufikia malengo yetu.
Chukua maisha mapya ili kufikia malengo yako hacha kukumbuka nyuma ulipo toka.
Kwa mafupi haya yafanyie kazi kwanza ndipo tu jifunze na kuangalia jambo lingine
Asante sana rafiki msikivu
Maoni
Chapisha Maoni