ATLETICO Madrid inaweza kuuza mastaa wawili dirisha la januari mara baada ya kuwachukua mshambuliaji wa chelsea, Diego Costa pamoja na kiungo wa Las Palmas, Vitolo kabla ya kufunguliwa kwa dirisha hilo.
Wachezaji ambao wanaweza kuondoka dirisha hilo ni Nico Gaitan na Luciano Vietto na Kevin Gameiro.
1: Utengenezaji wa sabuni za mche Malighafi: 1: Caustic kg 4 2: Maji lita 10 3: Mafuta lita 20 4: Sodium Silicate Kg 2 5: pafyumu mili lita. 250 __ 300 6: Chumvi vijiko 2 vikubwa Sabuni hii unaweza kuogea na kufulia inakuwa nzuri sana. Jinsi ya kutengeneza Loweka Caustic kg 4 kwenye maji ya lita 10 kwa siku 3. Ndani ya siku hizo tatu, utakuwa ukikoroga kila siku asubuhi na jioni kwa dakika 5. Kisha chukua sodium silicate kg2 ikifuatiwa na chumvi vijiko 2 vya chakula na mafuta huku unaendelea kukoroga kwa juhudi. Baada ya hapo weka kwenye maumbo kwa siku 3 __ 5 ili igande vizuri. Asante sana rafiki
Maoni
Chapisha Maoni