Sergio Aguero amepata ajali ya gari akiwa Uholanzi na atalikosa pambano la leo huku akitarajiwa kukosa mechi nyingine.
Aguelo alikuwa abiria ktk teksi yake iliyopata ajali wakati akitoka ktk tamasha kubwa la mwanamuziki maarufu wa colombia, maluma
Alhamisi usiku huku akielekea uwanja wa ndege kurudi England kujiandaa na pambano la leo.
Habari zaidi zinadai kuwa, Aguero anaweza kuwa nje kwa wiki sita hadi nane kutokana na majeraha hayo huku pia akitazamiwa kukosa mechi mbili muhimu za Argentina za kufuzu michuano ya kombe la Dunia
Maoni
Chapisha Maoni