Maombi ya mbunge wa malindi zanzibar ( cuf ) Ally saleh ya amri ya zuio dhidi ya wajumbe wapya wa bodi ya chama hicho yamekumbana na mapingamizi matatu
Pingamizi la kwanza: Amewasilisha hoja mbili, akidai kuwa maombi hayo ni batili kwa waombaji wamemshtaki mtu ambaye si sahihi
Pingamizi la pili: Limewekwa na bodi mpya ya wadhamini ya chama hicho na mwenyekiti wa bodi hiyo.
Peter malebo, kupitia kwa wakili wao majuro magafu
Pingamizi la tatu: limewasilishwa na wajumbe wa bodi hiyo ambao wanapingwa ktk shauri hilo na wana wakilishwa na wakili mashaka ngole
Maoni
Chapisha Maoni