Mwanamke mmoja alikuwa na watu wengine 19 wakajeruhiwa baada ya gari kuvurumishwa kwenye waandamaji wa kupinga mkutano huo uliofanyika churlottesville, virginia.
Bw Trump alishutumu ghasia za " pande nyingi " lakini hakushukumu moja kwa moja watu wa mrengo wa kulia walioandaa mkutano huo seneta wa Republicana Cory Gardner amesema Bwana Rais ni lazima tuutaje uovu kwa jina lake aliongeza " Hawa wlikiwa wanatetea ubabe wa wazungu na huu ni ugaidi wa ndani
1: Utengenezaji wa sabuni za mche Malighafi: 1: Caustic kg 4 2: Maji lita 10 3: Mafuta lita 20 4: Sodium Silicate Kg 2 5: pafyumu mili lita. 250 __ 300 6: Chumvi vijiko 2 vikubwa Sabuni hii unaweza kuogea na kufulia inakuwa nzuri sana. Jinsi ya kutengeneza Loweka Caustic kg 4 kwenye maji ya lita 10 kwa siku 3. Ndani ya siku hizo tatu, utakuwa ukikoroga kila siku asubuhi na jioni kwa dakika 5. Kisha chukua sodium silicate kg2 ikifuatiwa na chumvi vijiko 2 vya chakula na mafuta huku unaendelea kukoroga kwa juhudi. Baada ya hapo weka kwenye maumbo kwa siku 3 __ 5 ili igande vizuri. Asante sana rafiki
Maoni
Chapisha Maoni