Madrid walidhibiti mchezo huo kuanzia kipenga cha kwanza kilichopulizwa walijioata kifua mbele pale casemiro alipo wafungia, muda mfupi baada ya kugonga mwamba wa goli. Waliongeza la pili kilupitia isco aliyefunga akiwa hatua nane kutoka kwenye goli baada ya kubadilishana pasi na Gareth Bale, ambaye alichezeshwa safu ya mashambulizi baadala ya cristiano Ronaldo mshambuliaji wa united aliyenunuliwa £ 75m Romelu lukaku alikomboa bao moja lakini marcus Rashaford akapoteza fursa nzuri ya kufunga kwa kuutoa mpira nje, upande wa madridi ni Ronaldo pekee ambaye alikuwa hayupo kwenye kikosi kilichoanza mechi ukilinganisha na kikosi kilichocheza fainali ya ligi ya klabu Bingwa ulaya dhidi ya Juventus
1: Utengenezaji wa sabuni za mche Malighafi: 1: Caustic kg 4 2: Maji lita 10 3: Mafuta lita 20 4: Sodium Silicate Kg 2 5: pafyumu mili lita. 250 __ 300 6: Chumvi vijiko 2 vikubwa Sabuni hii unaweza kuogea na kufulia inakuwa nzuri sana. Jinsi ya kutengeneza Loweka Caustic kg 4 kwenye maji ya lita 10 kwa siku 3. Ndani ya siku hizo tatu, utakuwa ukikoroga kila siku asubuhi na jioni kwa dakika 5. Kisha chukua sodium silicate kg2 ikifuatiwa na chumvi vijiko 2 vya chakula na mafuta huku unaendelea kukoroga kwa juhudi. Baada ya hapo weka kwenye maumbo kwa siku 3 __ 5 ili igande vizuri. Asante sana rafiki
Maoni
Chapisha Maoni