Robert lee amehamishiwa mechi nyingine kwa sababu jina lake linafanana na jina la shujaa wa vita vya wenyewe kwa wenyewe jeneral Robert E Lee
Robert lee alikuwa amepangiwa kutangaza mechi ya chuo kikuu cha virginia dhidi ya chuo cha willam na mary ktk mji huo mnamo tarehe 2 septemba. ESPN wamesema wamembadilisha lee " Kwa sababu ya sadfa ya kufanana kwa majina "
Maoni
Chapisha Maoni