Ktk karne ya kwanza, mtume paulo alitoa onyo hili: " Neno lililoongozwa na roho linasema kwa hakika kwamba ktk vipindi vya nyakati za mwisho wengine wataanguka kutoka kwenye imani, wakisikiliza maneno yaliyoongozwa kwa roho yenye kupotosha na mafundisho ya roho waovu " ( 1 Timotheo 4:1 ) Bila shaka, maneno hayo yalithibitika kuwa ya kweli ! Mafundisho ya roho waovu " Biblia haiungi mkono fundisho hilo, na chanzo chake ni falsfa na dini za kale za kipagani kwa kupendeza, yesu alisema hivi kutuhusu: " Nanyi mtaijua kweli, nayo kweli itawaweka ninyi huru" ( yohana 8 : 32 ) Tunapopata ujuzi sahihi wa kweli ya biblia, tunawekwa huru kutokana na mafundisho yasiyomheashimu mungu na mazoea ya nayoungwa mkono na dini nyingi za ulimwengu huu. Kwa kuongezea, kweli iliyo ktk neno la mungu inatuweka huru kutokana na utumwa wa tamaduni na ushirikina unaohusianishwa na kifo. Muumba wetu hakukusudia wanadamu waishi duniani kwa miaka 70 au 80 na kisha waende kuishi milele mahali pengine. Kusudi kuu la mungu ni kwamba wanadamu waishi milele hapa duniani wakiwa watoto wake watiifu. Kusudi hilo linaonyesha jinsi ambayo mungu anawapenda wanadamu na hakika litatimia ( malaki 3: 6 ) mtunga zaburi aliongozwa kutangaza maneno haya yenye kutia moyo; " waadilifu wenyewe wataimiliki dunia, nao watakaa milele juu yake zaburi 37: 29
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya maji Malighafi: 1. Sulphonic Acid Lt 2 2. Soda Ash Kg 1 3. Sless Lt 1 4. Chumvi Kg 1 5. Pafyumu /rangi Bluu 6. Maji Lt 35 _ 40 Jinsi ya kutangeneza Anza kwa kuweka lita 10 mara tatu, yaani lita 10 tena na mwisho lita 10, angalia uzito ongeza tena lita 5 na kisha lita 2 ikiwa uzito bado ongeza lita 2 na mwisho lita 1 4. Chumvi kg 1 3. Sless Lt 1 2. Soda Ash Kg1 1. Sulphonics Acid Lt 2 Hapo sijaweka rangi wala pafyumu kwa sababu ukiweka pafyumu lita 35 bila kufunika itaisha baada ya muda mfupi. Ni vema rangi na pafyumu uweke pembeni. Mfano: Chukua ndoo ya lita 10, weka rangi robo kijiko cha chai na pafyumu vijiko vya chakula viwili na koroga vizuri. Ni vema utumie pafyumu aina ya lemon. Sababu za kutoweka rangi sabuni yote: Wapo wateja hawapendi rangi na harufu kwa hiyo utawapa kila mtu kama atakavyo na kujaza kwenye chupa zako zenye mifuniko saa hiyo hiyo ukiachia muda inatoka harufu. Asante sana rafiki.
Maoni
Chapisha Maoni