Bw Annan alikuwa mpatanishi mkuu baada ya ghasia kuzuka baada ya uchaguzi mkuu wa 2007 uliokumbwa na utata. Bw mwaikibaki alikuwa litngazwa mshindi wakati huo lakini Bw Raila odinga na chama chake cha ODM Wakapinga matokeo hayo.
Katibu mkuu huyo wa zamani wa UN amempongeza Bw kenyatta kwa ushindi wake na pia akamsifu Bw odinga kwa kuendesha kampeni yake kwa njia ya amani kwa hivyo namhimiza sasa afutilie malalamiko yake kupitia mifumo ya kisheria
1: Utengenezaji wa sabuni za mche Malighafi: 1: Caustic kg 4 2: Maji lita 10 3: Mafuta lita 20 4: Sodium Silicate Kg 2 5: pafyumu mili lita. 250 __ 300 6: Chumvi vijiko 2 vikubwa Sabuni hii unaweza kuogea na kufulia inakuwa nzuri sana. Jinsi ya kutengeneza Loweka Caustic kg 4 kwenye maji ya lita 10 kwa siku 3. Ndani ya siku hizo tatu, utakuwa ukikoroga kila siku asubuhi na jioni kwa dakika 5. Kisha chukua sodium silicate kg2 ikifuatiwa na chumvi vijiko 2 vya chakula na mafuta huku unaendelea kukoroga kwa juhudi. Baada ya hapo weka kwenye maumbo kwa siku 3 __ 5 ili igande vizuri. Asante sana rafiki
Maoni
Chapisha Maoni