Bunda mbunge wa jimbo la Bunda mjini Esther Bulaya amekamatwa na jeshi la polisi akiwa ktk Hotel ya kifa Best point wilayani Tarime akidaiwa kujiandaa kutaka kufanya mkufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
Kamanda wa polisi Tarime Rorya kamishina msaidizi mwandamizi Henry mwaibe amesema wa bunge Bulaya na john heche hawatakiwi kujumuika kwenye mkutano mbunge wa jimbo la Tarime
Maoni
Chapisha Maoni