Ruka hadi kwenye maudhui makuu

David Silva ( Manchester city )

Kiungo wa Manchester city David silva yuko tayari kujiunga na AC milan ambayo imeonyeaha nia ya kumwinda dirisha kubwa lijalo la majira ya joto.
Makataba wa sasa wa staa huyo wa kimataifa wa Hispania unatazamiwa kumalizika juni 2019, ingawa City imepania kumpatia makataba mpya.

Maoni